Fonetiki
No Nini fonetiki?
Fonetiki ni tawi la lughawiya fafanuzi linalojishughulisha na uchambuzi na uchanganuzi wa vitamkwa vilivyomo katika lugha ya mwanaadamu.
Kuna matawi mengi ya fonetiki miongoni mwao no Kam ifuatavyo.
Fonetiki matamshi; hili ni tawi la fonetiki linalojishughulisha na jinsi sauti za lugha ya mwanaadamu zinavotamkwa mfano/k/,/d/,/e/,/m/,/b/ nakadhalika.
Fonetiki masikizi: ni tawi la fonetiki linalojishughulisha na jinsi sauti za lugha ya mwanaadamu zinavosikika wakati wa kutamkwa zikitokea katika sehemu zake za matamshi mfano sauti /m/ hutamkwa kwa kubanwa kwa mdomo wa juu na wa chini.
Fonetiki tiba matamshi: hili ni tawi la fonetiki linalojishughulisha na jinsi matatizo ya utamkaji wa sauti na jinsi ya kuyatatua matatizo hayo.
Wow! The attachment of diagram will make your work in best level
ReplyDeletePambeee
ReplyDeleteMaa shaa Allah..it's very attractive.......I love Swahili language
ReplyDelete